Rudi Nyumbani
Picha Zetu Zote
Picha na video halisi kutoka karakana yetu ya Dodoma — vitambaa, oda na timu iliyo nyuma ya kila sare tunayotengeneza.
Hafla Rasmi
Mabegi yetu yakitolewa kwenye hafla za Serikali na matukio rasmi.
Mavazi na Sare
Sare za shule, suti, polo shirt, fulana, aproni na mavazi ya michezo tuliyotengeneza.
Mabegi
Mabegi maalum ya jute na canvas kwa taasisi, shule na matukio.
Kiwanda Chetu
Nyuma ya pazia katika karakana yetu ya Dodoma — ushonaji, urembeshaji na umaliziaji.
Umependa unachokiona?
Tuambie unachohitaji na tutakutengenezea kwa ajili ya timu, shule au kampuni yako.